Ezekiel 23:14-15

14 a“Lakini yeye akazidisha ukahaba wake. Akaona wanaume waliochorwa ukutani, picha za Wakaldayo
Wakaldayo yaani Wababeli.
waliovalia nguo nyekundu,
15 cwakiwa na mikanda viunoni mwao na vilemba vichwani mwao, wote walifanana na maafisa wa Babeli wapandao magari ya vita, wenyeji wa Ukaldayo.
Ukaldayo yaani Babeli.
Copyright information for SwhNEN